Shamsa: Kwa Mume, Ustaa Nauacha Getini!
“Siwezi kupeleka sanaa yangu kwenye ndoa hata siku moja, ninachotakiwa ni kubuni sanaa ya kuniwezesha ndoa yangu kufika miaka mingi zaidi na zaidi.”
Na Imelda Mtema, Dar
MCHEZA
sinema za Kibongo mwenye mvuto wa kipekee, Shamsa Ford amesema kuwa
kamwe haleti ustaa wake mbele ya mumewe kwani anajua madhara yake.
Akizungumza na Star Mix, Shamsa alisema kuwa, ukijitafakari
kazi ya sanaa anayofanya ni ya kuigiza hivyo akileta maigizo ndani ya
ndoa itakuwa ni shida kubwa.
No comments:
Post a Comment