Trending News>>

Pogba Kidogo Akinukishe Tena


Kiungo wa M a n United, Paul Pogba.
KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba, usiku wa kuam­kia jana ali­ ata bahati ya kuto­tolewa uwanjani kwa mara ya pili mfu­lulizo baada ya kum­chezea faulo Marlon Pack wa Bristol City.

Mara ya mwisho akiwa uwanjani, Pogba alitolewa uwanjani kwa kadi nyekundu katika mechi dhidi ya Arsenal, juzi, alirejea uwanjani kwa mara ya kwanza na kucheza faulo hiyo lakini mwamuzi Mike Dean akapeta.

Akizungumzia tukio hilo li­nalofanana na lile lililotokea dhi­di ya Arsenal, katika mchezo wa Carabao Cup, Phil Neville ambaye ni mchambuzi alisema: “Alikuwa na bahati kutopata kadi nyekundu, in­gekuwa mbaya kwake na kwa timu kama angeadhibiwa.”

No comments:

Powered by Blogger.