Neno la Rais Magufuli kwa Watanzania Katika Sikuu ya X-Mass
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefunguka
na kuwatakia heri Watanzania wote katika kusherehekea siku ya Christmas
na mwaka mpya.
Magufuli
ametoa salamu zake hizo kupitia kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu,
Gerson Msigwa ambapo rais amewataka Watanzania kusherehekea sikukuu hizo
kwa utulivu na amani na kuwataka Watanzania mwaka 2018 kuwa pamoja ili
nchi iweze kufanikiwa zaidi na zaidi.
No comments:
Post a Comment