Trending News>>

Wadada Acheni Kubania Namba Mtakosa Waume wa Kuwaoa...

Hivi nyie wadada mnaoombwa namba na sie wanaume halafu mnagoma kutoa mna maana gani?
Masuala ya kubania kutoa namba za simu yamepitwa na wakati ,halafu unakuta demu kazeeka unajua kabisa huyu kakosa wa kumwoa sasa unamwomba namba ili muyajenge yeye anakua mbishi kutoa
Mdada unaweza kukosa mume kizembe zembe hivi hivi Kwa tabia yako ya kubania kutoa namba
Acheni hizo wahenga wanasema usikatae wito kataa maneno sasa kinachotakiwa utoe namba then uamsikilize jamaa anataka nini Ila kukataa jumla kutoa namba unapoteza bahati

Jirekebisheni

No comments:

Powered by Blogger.