Mwanamke Wangu Hataki Nione Nyeti zake ...
Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka, kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake jambo hilo linanipa mawazo sana.
JE sababu ni nini?
Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunado karibia mala mbili kwa wiki anakuja jumamosi home na anakuja na jumatano, hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu, sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu ?
No comments:
Post a Comment