Simba SC yafikia makubaliano haya na golikipa wa Ghana
Golikipa Daniel Agyei akisaini mkataba tayari kuitumikia klabu ya Simba
Klabu ya Simba SC, kupitia mtandao wake wa instagram imetoa taarifa kuwa imeshamalizana na goli kipa Daniel Agyei kutoka timu ya Medeama ya Ghana na sasa mchezaji huyo ni mali ya Msimbazi.
Agyei kutoka nchini Ghana amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba.
No comments:
Post a Comment