BRAND NEW VIDEO MUSIC | LOVING YOU BY @officialiyo FT @diamonaplatnumz | WATCH HERE

Msanii wa Nigeria, Iyo ameachia video ya wimbo wake ‘Loving You’aliyomshirikisha baba Tiffah, Diamond Platnumz. Bila shaka huyu anakuwa msanii mwingine mpya ambaye staa huyo anampa tobo Afrika Mashariki.