BRAND NEW VIDEO MUSIC | AGOGO BY BRACKET (@vast_bracket @smash_bracket) FT SOLID STAR (@solidstarisoko) | WATCH HERE

Kundi lijulikanalo kama BRACKET linaloundwa na @vast_bracket @smash_bracket kutoka Nigeria limeachia video ya wimbo wao Mpya "AGOGO"wakimshirikisha SOLIDSTAR. Wimbo huo umetengenezwa na Producer kukbeatz na kufanyiwa mastering na Selebobo.
Itazame Hapa
Itazame Hapa