MAN U UWANJANI LEO, SANCHEZ KAZINI
Alexis Sanchez.
MANCHESTER UnitÂed inatarajiwa kuwa uwanjani leo Ijumaa kuivaa YeoÂvil Town katika raundi ya nne ya Kombe la FA.
United itakuwa ugenini kuivaa timu hiyo ya daraÂja la pili ambapo kuna mambo kadhaa yatakuwa gumzo juu ya mchezo huo.
Alexis Sanchez kuanza kazi
Kocha Jose Mourinho wa United anatarajiwa kuanÂza kumtumia staa wake mpya kikosini hapo kwa mara ya kwanza. Hiyo ni kiu ya mashabiki wengi kuÂmuona mchezaji huyo kaÂtika kikosi hicho.
Mourinho mechi 100
Leo ni siku ya kuÂzaliwa ya Mourinho ambaye anatimiza umri wa miaka 55 pia atakuwa akifikisha mchezo wake wa 100 akiwa na Man UnitÂed. Ameshinda 61, sare 23 na kupoteza 15, mabao ya kuÂfunga ni 176, mabao ya kufungwa 70 na ana mataji matatu.
Mabadiliko kikosini
Mourinho anaweza kufanya mabadiliko ya kikosi ikiwemo kumpa nafasi kipa Sergio Romero na kumpumzÂi Âs h a David De Gea.
A n d e r H e r r e r a mechi 150
Kiungo h u y u ame s h Âa c h e z a m e c h i 149 akiÂwa United k a m a atacheÂza basi atafikiÂsha mechi 150.
No comments:
Post a Comment