Yanga Kuivaa Mbao FC Bila Ibrahim Ajibu
Pamoja na Ajibu, Obrey Chirwa ambaye alianzisha mgomo
akitaka kulipwa fedha zake za usajili zilizobaki, wengine itakaowakosa
ni Thaban Kamusoko na Donald Ngoma.
Pamoja
na wachezaji kadhaa majeruhi ambao itawakosa katika mechi yao dhidi ya
Mbao FC, Jumapili, Yanga itamkosa Ibrahim Ajibu. Yanga haitamtumia Ajibu
katika mechi dhidi ya Mbao FC baada ya kuwa na kadi tatu za njano.
No comments:
Post a Comment