Trending News>>

JPM Awasilisha Fomu Zake za Rasilimali na Madeni ya Viongozi



Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma kwa Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela Makao makuu ya ofisi hizo Mtaa wa Ohio Dar.

Rais Magufuli ameagiza viongozi watakaochelewesha fomu zao zisipokelewe ili sheria ichukue mkondo wake. 

No comments:

Powered by Blogger.