Trending News>>

Watu maarufu wanaotumia mkono wa kushoto

Kwenye baadhi ya familia za Kitanzania Mtoto akionekana kutumia mkono wa kushoto huwa anakatazwa na Wazazi ambao wanaamini mkono wa kulia ndio sahihi kutumika kwenye kuandika na matumizi mengine mbalimbali.

Sasa leo nakukutanisha na Watu 10 maarufu duniani ambao wanatumia mkono wa kushoto kuandika na kuufanya kuwa mkono mkuu kama wengine wanavyoufanya wa kulia.
BARACK OBAMA: Ni Rais wa zamani wa Marekani Barack Obama anatumia mkono wa kushoto pia Bill Clinton nae.
BILL GATES: Tajiri namba moja wa Dunia.
EMINEM – MwanaHiphop wa siku nyingi
 JUSTIN BIEBER– Mwimbaji staa mzaliwa wa Canada

ANGELINA JOLIE – Mwigizaji staa kutoka Hollywood
LADY GAGA – Mwimbaji mwingine staa

 RAFAEL NADAL – Mcheza Tennis maarufu.

LIONEL MESSI – Staa wa soka anaeichezea FC BARCELONA.

 OPRAH WINFREY: Mmoja wa Watangazaji Matajiri wa TV

MANNY PACQUIAO – Bondia

No comments:

Powered by Blogger.