Mkurugenzi
wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc
,Rosalynn Mworia(kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) juu ya mwendelezo wa kampeni ya
Pesa ni M-Pesa ambapo wafanyabiashara watakao pokea malipo kwa njia
ya M-Pesa watajishindia zawadi za pesa taslim jumla ya shilingi
Milioni 200. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana.
Promosheni hiyo itadumu kwa muda wa miezi 2 na zaidi ya wafanyabiashara
800 wanaopokea malipo kwa M-Pesa watashinda zawadi kila siku, kila
wiki, kila mwezi na mshindi wa jumla atajishindia kitita cha Milioni 20.
Mkuu
wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana (kushoto) akishuhudiwa na
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni ya Vodacom Tanzania
Plc ,Rosalynn Mworia(kulia) wakati akifafanua jambo kwa waandishi
wahabari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juu ya mwendelezo wa
kampeni ya Pesa ni M-Pesa ambapo wafanyabiashara watakao pokea malipo
kwa njia ya M-Pesa watajishindia zawadi za pesa taslim jumla ya
shilingi Milioni 200. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap
Ndekana. Promosheni hiyo itadumu kwa muda wa miezi 2 na zaidi ya
wafanyabiashara 800 wanaopokea malipo kwa M-Pesa watashinda zawadi
kila siku, kila wiki, kila mwezi na mshindi wa jumla atajishindia kitita
cha Milioni 20
WATEJA VODACOM M-PESA KUTOKA MITANDAO YOTE KUSHINDA HADI MILIONI 20
Reviewed by Unknown
on
December 15, 2017
Rating: 5
No comments:
Post a Comment