Trending News>>

Vee Money Kiboko, Cheki Alichokifanya

Hatimaye yametimia! Malkia wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ ameamua kuwaonesha mashabiki wake cover ya Albamu yake mpya ambayo anatarajia kuitoa hivi karibuni.
Siku za nyuma Vee Money aliwaahidi mashabiki zake kuwa kabla ya mwaka huu 2017 kumalizika, atatoa Albamu yake yenye nyimbo18 ambayo itakuwa imewashirikisha wasanii wa Tanzania na wa nje.
Kupitia akaunti yaake wa Instagram Vanessa Mdee ameonyesha kava ya albamu hiyo na kuthibitisha kuwa wakati wa kuachia alabamu yake umwadia.
Ameandika;
It’s time baadaye akaandika This is the official album cover #MoneyMondaysTheAlbum kisha akaandika tena Long Time Coming #MoneyMondays.

No comments:

Powered by Blogger.