Trending News>>

Uteuzi wa wana-CCM wanaoomba dhamana ya M/kiti wa CCM na Makamu wa M/kiti wa CCM bara na Zanzibar


Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuwajulisha wanachama wa CCM na Umma wa watanzania kuwa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya uteuzi wa kuwapitisha wana CCM ambao wataomba ridhaa ya Mwenyekiti wa CCM, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
 

No comments:

Powered by Blogger.