Usiku wa December 6 2017 michuano ya UEFA Champions League msimu wa
2017/2018 ilimalizika rasmi kwa michezo nane kuchezwa barani Ulaya na
sasa tumezifahamu jumla ya timu 16 zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 ya
michuano ya UEFA Champions League.

Timu 16 zilizofanikiwa kuingia hatua ya 16 ya michuano ya UEFA Champions League.

Matokeo ya usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment