
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ametengua uteuzi wa
Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi Eneo la Ngorongoro. Kigwangalla amefanya uamuzi huo ikiwa ni siku 13 baada ya Rais Magufuli kumteua
Prof. Abiud Kaswamila kuwa Mwenyekiti Mpya wa Bodi hiyo.
Taarifa kutoka Wizara hiyo imeeleza kuwa uteuzi mpya wa wajumbe wa Bodi hiyo utafanyika hivi karibuni.
UTEUZI ALIOUFANYA RAIS MAGUFULI DESEMBA 6, 2017

No comments:
Post a Comment