Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba akabidhi Vespa kwa Madiwani Wilaya ya Micheweni
Mkuu
wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman (alie vaa flana manjano)
akiangalia Vespa aliowakabidhi Madiwani wa Halmashauri Wilaya ya
Micheweni kushoto yake ni Katibu Tawala Mkoa Kaskazin Pemba Ahmed Khalid
Abdallah Hafla hiyo aOfsi ya Halmashauri wa Wilaya ya Micheweni.
Mkuu
wa Mkoa Kaskazini Pemba Omr Khamis Othman akimkabidhi Vespa Mwenyekiti
wa Kamati ya Madiwani wa CCM wilaya ya Micheweni Said Saleh Salim ambae
pia ni Diwani wa Chimba.
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman (wa katikati) katika Picha ya pamoja na Madiwani wa CCM Wilaya ya MIchweweni
No comments:
Post a Comment