Mcheza Sinema maarufu Nchi Irene Uwoya amemponza msanii mwenzake Shamsa Ford!!
Uwoya.
STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford
ameoga mvua ya matusi kutoka kwa baadhi ya mastaa wa Bongo Movies baada
ya kusema hakuna staa mzuri wa kike kwenye tasnia hiyo mwigizaji
mwenzake, Irene Uwoya.
Shamsa.
“Ninawashangaa sana, mtu ukizungumza ukweli ni shida maana watu wananipigia simu mfululizo wakati jambo lenyewe liko wazi kabisa na ninasisitiza, hakuna mwanamke mzuri Bongo Movies kama Uwoya. Kwa nini hawataki kumpa mtu sifa zake jamani?” alihoji Shamsa.
No comments:
Post a Comment