Mafuriko Yamhamisha Mtaa Gigy!
Gift Stanford ‘Gigy Money’.
Chanzo makini kimeeleza kuwa, Gigy baada ya kuona mambo yameharibika katika eneo hilo, alipata mfadhili, akamsaidia kuhamia kwenye ‘kinyumba’ flani maeneo ya Kwa Remmy, Sinza jijini Dar kujisitiri.
Baada ya kuunyaka ubuyu huo paparazi wetu alimvutia waya bishosti huyo, akafunguka: “Hiyo ishu ni kweli ilitokea, maana sikujua kama lile eneo linajaa maji ndiyo maana ikabidi nihame haraka ndipo nikaja hapa Sinza, kweli mvua ilinirudisha nyuma lakini sasa kila kitu nimeshakiweka sawa.”
No comments:
Post a Comment