Dozi ya Man City iliwaangukia Spurs Jana baada ya kutegemewa kuwa ndo timu pekee ya Uingereza itakayoweza kuwazuia kusonga mbele...
Man City leo walikuwa nyumbani lakini walikuwa wanacheza game yao ya 16 ya Ligi Kuu ambapo kwa game 15 zilizopita wamefanikiwa kupata ushindi katika game zote, hivyo kuifunga Totteham Hotspurs kwa magoli 4-1 inakuwa ni ushindi wa 16 mfululizo EPL.
Matokeo ya game za EPL zilizochezwa usiku wa December 16 2017.
Msimamo wa EPL ulivyo kwa sasa baada ya game za leo kuchezwa.
No comments:
Post a Comment