Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia
CHADEMA, Dr. Godwin Mollel ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho
kuanzia leo na kujiuzulu Ubunge, amedai anamuunga mkono Rais Magufuli
ambaye anapigania rasilimali za nchi yetu.
No comments:
Post a Comment