Mzazi Mwenzake na Diamond Platnumz  Zari the Boss aibuka na kumbeza Baba wa watoto wake huyo katika mtandao wa Snapchat juu ya kile alichokuwa akikizungumza leo kwenye kipindi cha leo tena kinachorushwa na Radio ya Clouds Fm.
Zari ambae ni mama wa watoto wa wili wa staa huyo Tiffah Naseeb na Nillan Naseeb aliposti, posti tatu tofauti kipindi ambacho Diamond alikua akiendelea na mahojiano katika kituo hicho na posti yake ya kwanza ilikua hivi
Na baada ya muda mfupi Zari aliposti hii tena
Baada ya muda mfupi tena Zari alimaliza kwa kuposti hivi
Hata hivyo, Diamond alilizungumzia jambo hili na kusema kuwa hakumuweka wazi kwa kila kitu  juu ya jambo hili hivyo basi kwa kuwa yeye ni mwanamke wangu lazima atakua hajafurahishwa na jambo hili.
Diamond Platnumz amekiri kuwa mtoto aliezaliwa hivi karibuni na mwanamitindo Hamissa Mobeto ni wake na kuahidi kuwa atamtunza kwani amekuwa akimunza tangu alipokuwa na ujauzito mpaka amejifungua.