Sokabet: Buku Tu, Unakomba Sh 100m
SIKU chache tangu kuzinduliwa kwa tovuti ya www.sokabet.co.tz imekuwa kimbilio la washiriki wengi wa michezo ya kubahatisha ambapo watu wameshaanza kuvuna mamilioni ya fedha.
Wikiendi hii pia kuna mambo mazuri yanakusubiri, kuna shilingi milioni 100 (100,000,000) unayoweza kujishindia kwa shilingi 1,000, yaani buku tu, hiyo itapatikana kwa kushiriki katika kipengele cha Sokabet Jackpot.
Lakini kabla sijakufikisha kwenye ufafanuzi wa jinsi utakavyovuna milioni 100 kuna mambo mengi mazuri ndani ya Sokabet unatakiwa kuyajua.
Kwanza unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye tovuti ya www.sokabet.co.tz kisha humo ndani unaweza kutabiri matokeo katika vipengele mbalimbali.
Tabiri bingwa upate mkwanja
Ingia ndani ya tovuti hiyo, baada ya kuwa umeshajisajili na kufungua akaunti yako (kama bado hujajisajili, nitakuelekeza) kisha upande wa kushoto wa tovuti hiyo utaona orodha ya ligi mbalimbali za Ulaya.
Chagua ligi unayotaka, mfano ukitaka Premier League, bonyeza jina la ligi hiyo kisha zitatokea mechi mbalimbali za ligi hiyo ambazo unaweza kubashiri, pia chini yake utaona orodha ya timu zote za ligi hiyo zikiwa na pointi (odds) zake za kubeti.
Katika hiyo orodha unaweza kuchagua timu unayotabiri inaweza kuwa bingwa kisha ukaweka fedha yako na kusubiri mwisho wa msimu uone itakuwaje, ndivyo hivyo katika ligi zote zilizopo kwenye orodha hiyo, mfano Serie A, Bundesliga na Championship.
Mfano ukitabiri Southampton itakuwa bingwa, ukiweka Sh 2,000 tu na ikawa kweli mwisho wa msimu utavuna Sh laki 8 (800,000).
Kujiandikisha ni bure
Ingia www.sokabet.co.tz bonyeza sehemu ya ‘SIGN UP’ yaani jisajili kwa mara ya kwanza. Hapo utajaza nafasi chache zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa njia ya SMS.
Baada ya hapo utajerea sehemu ya kuingia ndani yaani ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu kisha ingiza namba ya siri ambayo ulitumiwa kwa njia ya SMS, hapo utakuwa umeshaingia kwenye akaunti yako rasmi.
Utakaporejea baadaye kufungua tovuti hiyo, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba yako ya simu kisha namba ya siri tu basi.
Kuingiza fedha na kubeti fanya haya
Watumiaji wa Vodacom, bonyeza *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-Pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Soka’.
Baada ya hapo utaingiza kiasi unachotaka kuweka mfano Sh 1,000 au 5,000 na kuendelea, utamalizia kwa kuingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 ili kukamilisha mchakato.
Kwa Tigopesa, kubonyeza *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, ingiza neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigopesa.
Kwa Airtel bonyeza *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, kisha ingiza kiasi cha fedha, itakwambia ingiza kumbukumbu namba (hapa ingiza neno ‘Soka’), kisha namba yako ya siri ya Airtel money.
Hapo utakuwa umeshajaza salio kwenye akaunti yako ya Sokabet tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri.
Sokabet Jackpot inakupa Sh 100m
Habari nzuri ni kuwa, dau la shilingi milioni 100 yaani Sh 100,000,000 kwa ajili ya wiki hii limetangazwa na wewe unayesoma hapa una nafasi ya kubeba mamilioni hayo kwa shilingi elfu moja tu.
Sokabet Jackpot ya wiki hii unatakiwa kubeti kabla ya kesho Jumamosi Septemba 2, saa 10:00 Jioni.
Ndani ya Sokabet unatakiwa kupatia matokeo ya mechi 13 tu. Idadi ya mechi za jumla ni 16, hizo 3 nyingine ni za ziada tu ambazo haziwezi kuathiri zile 13 ulizobashiri. Hizo tatu za ziada zinawekwa ili zijumuishwe kwa dharura endapo itatokea kuna mechi ndani ya zile 13 haikufanyika au haikumalizika.
Ukikosea mechi chache ndiyo basi?
Sokabet haiwezi kukuacha hivihivi, hata kama ikitokea umekosea michezo michache bado utakuwa na nafasi ya kujiingizia fedha nyingi.
Mfano ikitokea wabashiri wamepatia michezo 12 kati ya 13 basi watapatiwa Sh milioni 5 (Sh 5,000,000) watakaopatia mechi 11 watapatiwa Sh milioni 2 (Sh 2,000,000).
MECHI ZA SOKABET JACKPOT WIKI HII HIZI HAPA
Namba ya bahati 335757
Washiriki wanaoruhusiwa ni wenye umri wa kuanzia miaka 18, pia kwa msaada zaidi wasiliana na namba ya huduma kwa wateja ambayo ni 0654705555.
No comments:
Post a Comment