Trending News>>

Penzi La Mama Ntilie – Sehemu Ya Kwanza

Huyu bwana mdogo maisha yake ya kipindi anasoma chuo yalikua ya utulivu na hakua na vurugu za kwenda club au kutembea na watoto wakike, alikua ni mtu mpole na asiyejua kutongoza wasichana.
Aliendelea na tabia yake hiyo ingali kua marafiki zake vyuoni walikua wanamuona wa ajabu kwakua hakua na demu na hapendi kwenda kwenye starehe, hii yote ni kwasababu shule alizosoma secondary ni za kiseminary.
Siku moja chuo alikua anaenda chooni kuoga katika vyoo vya mabweni, kufika pale mlangoni alimuona demu mule ndani akiwa anajifuta na kanga huku akiwa ameugeuzia mgongo mlango mkubwa ili anaengia asijemuona kwa mbele alivyowazi. kandundu alisisimka sana na kisha akaguna, yule msichana akajifunika kisha bwana wake yule msichana nae akatoka chooni na bukta na akamsalimia kandundu “ebwana shwari”, kandundu akajibu kwa kinyonge maana aliyoyaona pale yalimsisimua sana na hivi hana demu ndo hatari zaidi.
Kandundu aliwaza sana swala hilo la yeye kutokua na demu, lakini alikua muoga sana kwa wasichana. tabia yake aliendelea nayo mpaka akamaliza chuo na kupata ajira sehemu fulani hivi.
Kule alizoeana na watu wapya na wengi, na alijitahidi kuonekana ni mtaalamu pia wa mademu pale alipokua akipiga story za ujana na marafiki zake wa kazini.
Hapo kazini ikifika mida ya mchana hua wanaenda kula chakula nje ya ofice kwa mama ntilie mmoja hivi, anasifika sana eneo hilo. wakaenda kula siku ya kwanza hapo na kumuonyesha kandundu sehemu ya kula.
Wakakaa kwenye mabench ya huyo mama na kuagiza chakula, baada ya muda wakiwa wanakula, wakaja warembo wanne wazuri wakiwa wamevaa mini skirts laini sana, wenye kutamanisha sana, vijana wote wakawa wanawaangalia sana. wale watoto wakaagiza chakula na kukaa kwenye benchi wakiendelea kupiga story zao.
Benchi walilokaa lilikua opposite na lile walilokaa kina kandundu, sasa wale watoto walivyokaa zile mini skirts zilipanda kwa juu sana kiasi kwamba mapaja yao yanaonekana na kina kandundu wakawa wanaona uvungu wa mapaja yao, basi walikua wakila macho kodoooo kwa mapaja ya wale warembo.
Kandundu alikua akisisimka sana na kutamani sana kiasi kwamba uume wake ukaanza kusimama kwelikweli bila kuacha. mbele ya kandundu kulikua na mrembo mzuri zaidi ya wote, na alipokua akicheka kandundu alikua akimuangalia sana kiasi kwamba yule binti akajua anaangaliwa na kandundu, hivyo akawa nae anamcheki kandundu kwa jicho la uchokozi makusudi tu ili amzingue. kandundu alikua hoi akimtazama mrembo huyo.
Rafiki zake kandundu wakamaliza chakula na kumshangaa kandundu akiwa bado hajamaliza, wakamstua “oyaa vipi, maliza bana, hawa mademu wapo tu”, kandundu akarudisha mawazo yake kwenye chakula na kula haraka kisha wakamlipa yule mama na kuondoka zao kurudi ofisini, wakati wanaanza kuondoka, kandundu alimcheki yule mrembo na kumbe yule mrembo nae alikua akimcheki kandundu, basi wakakutana macho kisha kandundu akageuka na kuendelea na safari yao ya kwenda ofisini.
Wakiwa ofisini baadae, kandundu aliwaambia marafiki zake kuna msichana pale kamkubali sana na angependa awe nae. washkaji zake walimpa moyo aende asiogope nini.
Siku ya pili ilikua hivyo hivyo, yule demu alikua amevalia mini skirt yenye lace, alikua na kalio zuri sana na kubwa, kiuno kizuri na rangi nyeupe. wakati wanakula kandundu aliendelea kumuangalia yule mrembo, siku hiyo kandundu alitamani kumzingua huyo msichana maana moyo wake umependezwa nae. wakati yule binti anataka kulipia chakula chake, kandundu alimuwahi na kumshika mkono kisha akamwambia “acha ntalipia mimi,” yule mrembo akashukuru “eeeh haya asante kaka”. basi kandundu hakuweza kuendelea kuongea akaondoka zake bila hata ya kumuuliza anaitwa nani.
Hali hiyo iliendelea kwa muda wa wiki mbili, ambapo kandundu alikua akimlipia chakula mrembo yule kiasi kwamba yule demu akaanza kumzoea taratibu na kuanza kupiga nae story. siku moja ilikua ijumaa, yule demu wakati analipiwa chakula na kandundu, akamuuliza “hivi unaitwa nani kaka, maana naona unalipia tu chakula bila hata ya kukufahamu”, basi kandundu akaona mwanya wa kuongea. akaanza “naitwa kandundu, sijui wewe unaitwa nani?”, yule binti alikua anaitwa NATASHA. basi wakaendelea kuzoeana taratibu siku hadi siku.
Siku moja washkaji zake kandundu wakamshauri amtoe out natasha kwani ataonekana bwege asipomvua chupi mapema. kandundu akajifanya mtaalamu wa hizi mambo na kuwaambia wasijali. basi kandundu akapanga nae siku waende out kidogo, natasha alikubali, na siku ikafika weekend na wakaenda zao beach.
Natasha alivaa gauni laini zuri lenye kuonyesha maumbile yake yalivyo mazuri, nae kandundu alivaa kismart fresh. wakafika beach na kukaa sehemu wakinywa juice na kuangalia bahari. basi wakawa wanapiga piga story. natasha alikua mtundu sana, akaanza kumchokoza kandundu bila kujua kwamba kandundu hakuwahi kua na mwanamke huko nyuma. akamshika sehemu ya mapaja huku akiendelea kuupeleka mkono juu kule kwa sehemu za siri za kandundu, kandundu alijikuta akihema sana huku uume wake ukiwa umesimama sana.
Natasha akaendelea huku akimwambia, “unajua nilivyokuona siku ya kwanza pale kwenye mabench ya yule mama, nilikutamani sana ila hukujua tu, uu handsome sana na una umbo zuri la kimahaba” huku akiendelea kumpapasa kandundu, kisha akafika kwenye uume wake na kuushika shika juu ya suruali, kandundu alijikuta akiona maluweluwe maana hakuwahi kuguswa na mwanamke, ghafla kandundu akajikuta akipiga kelelee “aaaah aaaaah aaaaah aaaaaah aaaaaaaaaah”. natasha alistuka, na tazama kandundu alikua amejikojolea mbegu nyingi sana mpaka zikaloanisha boxer yake na jeans alilovaa sehemu kubwa. natasha alijikuta akitabasamu na kucheka.
Kandundu aliona aibu kweli, natasha akachukua wipes na kumfuta juu ya suruali yake, na muda huo huo ikabidi waondoke maana alilowa sana.
Baadae kwenye simu, natasha akamuuliza kandundu “mbona leo imekua vile, hujakutana na msichana muda sana eee”, kandundu akabaki na kigugumizi huku asipate jibu la kumjibu, ila akajikuta akitaka kusema “aaaah kiukweli natasha yaani wewe ndoooo…….”
JE KANDUNDU ATAMWAMBIA UKWELI NATASHA. NA JE NATASHA ATACHUKULIAJE.

No comments:

Powered by Blogger.