Shuhudia Mbwembwe za Neymar Alivyotua Rasmi PSG
Neymar akiwasili PSG.
…Akizungumza na wanahabari.
Wakati wa mkutano na waandishi wa habari, Neymar alisema kwa muda mrefu alikuwa hajui hatma yake na kwamba, wachezaji wengi wa Brazil walikuwa wakimshawishi ajiunga na PSG.
…Akisubiliwa kwa hamu.
Aidha, Neymar ambaye hakueleza sababu za kuamua kuikimbia Barcelona, amesema kwamba hajajiunga na PSG ili awe mchezaji mkubwa klabuni hapo.
…Akifanya mbwembwe zake uwanjani.
Akieleza masikitiko yake, Neymar alisema kwamba bado anaiheshimu klabu ya Barcelona lakini amesikitishwa na ukosoaji uliofanywa na mashabiki huku baadhi yao wakienda mbali na kuchoma jezi zake.
…Akionyesha jezi yake.
…Akichezea mpira.
…Akishuka kwenye ndege.
Akitambulishwa klabuni hapo.
…Akifurahia.
…Akikabidhiwa jezi.
…Akipiga picha na mashabiki wa PSG.
No comments:
Post a Comment