Msaada Tafadhali: Anataka Kuniroga
Jana jirani yangu mwanamke kaniita ndani kwake nimrekebishie TV yake nikaenda kweli nikamrekebishia.
Nimemaliza nataka kuondoka akanizuia akaachia khanga yake huku ndani hajavaa kitu na baridi hili tukaanza kuburudika wakati tunaburudika mumewe akagonga mlango..!
Haraka haraka nikajificha yule mwanamke akamfungulia mlango mwanaume
akapitiliza moja kwa moja chooni, nikavaa fasta nikakimbia kumbe
niliisahau boxer yangu.
Leo naamka naona ile boxer kaianika na tangazo juu “mwenye hii boxer ajitokeze asipojitokeza baada ya siku tatu namroga”. Hapa sina raha kabisa na baadhi ya marafiki wangu wanaijua kwa kuwa navaaga mlegezo sijui nijitokeze au ningoje kurogwa..!
Nimemaliza nataka kuondoka akanizuia akaachia khanga yake huku ndani hajavaa kitu na baridi hili tukaanza kuburudika wakati tunaburudika mumewe akagonga mlango..!
Leo naamka naona ile boxer kaianika na tangazo juu “mwenye hii boxer ajitokeze asipojitokeza baada ya siku tatu namroga”. Hapa sina raha kabisa na baadhi ya marafiki wangu wanaijua kwa kuwa navaaga mlegezo sijui nijitokeze au ningoje kurogwa..!
No comments:
Post a Comment