Trending News>>

Leo Nimechepuka Mara Ya Mwisho

Baada ya kuwa nachepuka kwa muda mrefu, leo naacha rasmi. Na mke wangu naomba anisamehe.
Leo nikiwa guest tena na mke wa mtu, roho imeniuma sana nikawaza inakuaje kama ni mke wangu akifanyiwa hivo nikahisi nitaumia sana.
Halafu kingine yule mke wa mtu ana mimba ambayo hana uhakika kama niya jamaa ake au ya kwangu hivo imeniuma zaidi baada ya kuwaza jamaa anaweza kulea mtoto asiye wake.
Nimemwambia mazoea sitaki tena japo hajakubali lakini ndio hivo nafsi inanisuta.

No comments:

Powered by Blogger.