Jamani Mama Mkwe..!!! – Sehemu Ya Kwanza
Mwaka wa nne wa mahusiano yetu tukaamua kwenda kutambulishana kwa wazazi wetu, nilimpeleka kwetu na wazazi walifurahi sana, kisha nikaenda kwao na nikawaona wazazi wake, lakini nilishangazwa na kitu kimoja siku ile ile ya kwanza, mama yake hadija (mkwe wangu), alinikonyeza pindi nilipotaka kuondoka.
Baada ya kurudi nyumbani,ikabidi tuwatembelee wazazi wake maana tulikua hatukai nao mbali sana, ni kama vituo vitatu vya basi ndo unafika kwao. Hivyo tulienda, tulikaribishwa na mkwe wangu mzee pezi, tukamkuta mama mkwe husna akimalizia kuandaa chakula huku akiwa amevaa dela refu, hakika alikua na umbo zuri na mkia mkubwa sana, dela lilimchora vizuri,
Salma: “shem huyo, karibu, za kupotea”
Mimi: “swalama bana shemeji, za maisha”
Salma: “nzuri tu, naona mmependeza kweli”
Husna: “we salma embu kavae nguo vizuri, nilishakukataza maswala ya kuvaa vimini vyako mbele ya wageni”
Salma: “aah mama huyu shemeji mzungu…”
Pezi: ” embu msikilize mama yakoo alaa”
Hadija: “mama huyu salma humjui, anajifanya mtoto wa mjini, ngoja nae aolewe ndo atajua maana ya kuvaa vizuri”
Husna: ” haya hadija uje na mumeo tule chakula, we baba hadija (pezi) njoo tule..”
Tukakaa tukala na kupiga story, na giza likaingia, kila mtu akaendelea na mambo yake nikabaki mimi na mma mkwe wangu pale sebuleni, mke wangu alikua na mdogo wake chumbani, na baba mkwe alienda kwa jirani mara moja..
Husna: ” eeh baba, naona umekaa na mwanangu vizuri, unampa vitu vizuri ee, “
Mimi: ” aah kawaida mama siunajua ni muhimu kumpa vitu vizuri”
Husna: ” ulivyoshiba hivyo baba, inaelekea hata kwa nyeti zako uko tununu, baba yako huyu hajanipa mda mrefu mpaka najihisi nimeurudia usichana wangu…”
Mimi : ” aaah tehteh, hamna mama, si unajua utu uzima nao una changamoto, fanya kumvalia vitu vya kumfanya atoe nyoka wake siunajua..”
Husna: ” haha, nimvalie nini tena, nimevaa vyote, hapa yenyewe sijavaa chupi na nimevaa hili dela hapa lakini wala hata nigusa hata kwa bahati mbaya makalio yangu..”
Mimi: “aah mama haya mazungumzo yanaenda mbali sasa, ina maana hujavaa chupi saizi na umbo lako lilivyo hivyo, dah, unanipa mtihani mama mkwee”
Husna: ” haha usijali bana, mimi nimefurahi umerudi na binti yangu salama na kwamba unamridhisha vizuri, sitaki aishi kama mimi hapa..”
Mimi: ” asante mama, nitamtunza na kumridhisha siku zote”
Husna: ” ila si vibaya ukala na kizaa chema baba, eti ee”
Mimi: ” aah aah aah mbona , sijakuelewa..?”
Hadija: “mume nakujaa twende zetu, tusije chelewa nyumbani…”
Husna: ” haya ujiandae, tutaongea mengi siku nyingine sawa, utanipigia mida ya mchana au utakuja mda wowote kututembelea sawa..”
Nilibaki na maswali kidogo kuhusu sentensi aliyoisema mama mkwe ” si vibaya kula na kizaa chema”, ina maana anataka na yeye nilale nae, nikajisemea kimoyo moyo ‘siwezi nikafanya hivyo, ndugu zake watanielewaje, mke wangu je…’
Baada ya siku mbili, nilienda mitaa karibu na nyumbani kwa wakwe zangu, nikaonana na fundi nguo huyu kunzi, nikampa nguo zangu mbili tatu anirekebishie, mazungumzo yakawa hivi.
Kunzi: ” karibu bana, alafu wewe si ndo bwana shemeji bana, umetuchukulia mwali wetu hadija …”
Mimi: ” haha eeh bana niliwaibia kidogo, vipi hawa wazee watakuwepo hapo kwao?”
Kunzi: “mzee alitoka na binti yake salma yule, ila mama yupo bana. Kmsalimie bana, nilimuona katoka sokoni”
Kule nyumbani husna (mama mkwe), alikua dirishani akaniona nipo kwa fundi “ehee huyu leo inabidi nisiharibu, hapa mzee katoka, na huyu chakubimbi nae kaenda na baba yake, ngoja nijifanye naenda kuoga nivae kanga tu hapa”
Mimi: ” haya fundi, nirekebishie nitakuja kuchukua baada ya masaa kadhaa tu, ngoja nikamsalimie bimkubwa hapo”
Kunzi: ” haya bwana shemejii, uandae hela yangu tu hapo”
Nikajongea mpaka mlangoni mwa wakwe zangu, nikagonga mlango “hodiii, hodii”,kimya , nikagonga tena “hodii, mama upo!”,
mama akajibu “nakuja subiri”. Nikasubiri kama dakika moja nikasikia mtu anasogea mlangoni na kufungua kitasa cha mlango..!
Nini Kitaendelea, usikose sehemu ya pili ya kisa hiki….
1 comment:
Huu ni lazima ushuhudia usomaji na kila mtu, nipo hapa kuruhusu ulimwengu wote kujua kuhusu mtu aliyeokoa uhusiano wangu na mtu huyu mkuu anaitwa Dr IZOYA. Hakika alifanya kazi nzuri kwangu kwa kumrudisha mpenzi wangu wa zamani ambaye aliniacha na kuahidi kamwe kurudi kwangu tena. Kwa hili, nimekuja kutambua kuwa kutoa maelezo ya Dk IZOYA kwa ulimwengu utafanya mengi mazuri kwa wale walio na nyumba zilizovunja au uhusiano kwa ajili yake ili kukusaidia kurekebisha uhusiano huo uliovunjika au ndoa yako. Unaweza kumfikia kupitia barua pepe yake: drizayaomosolution@gmail.com. Kuwasiliana naye na kuona jinsi tatizo lako litatatuliwa ndani ya 24hours. Pia mtaalamu katika mambo yafuatayo ...
(1) Unataka kurudi nyuma yako.
(2) Unataka kukuzwa katika ofisi yako.
(3) Unataka wanaume / wanawake kukufuate.
(4) Unataka mtoto.
(5) Wewe ni mjasiriamali na unataka kushinda mikataba
(6) Unataka mume wako awe wako milele
(7) Unahitaji msaada wa kiroho.
(8) Umeshambuliwa na unataka kupona fedha zilizopotea.
(9) Weka talaka
(10) Kualika kwa mila ya fedha
(11) Chagua uchaguzi
Post a Comment