Trending News>>

Dembele aanza safari ya kuelekea Barcelona

 Kiungo kinda mwenye kasi wa Borussia Dortmund, Ousmane Dembele inaonekana safari yake ya kwenda Barcelona imeiva.

Barcelona imekubali kumwaga kitita cha pauni million 90 ili kumnasa.

Leo, ameonekana Dembele akiwa na rafiki na ndugu zake wakimsaidia kuweka vitu kadhaa kwenye gari lake kama mtu anayehama nyumba.

No comments:

Powered by Blogger.