Trending News>>

Breaking News: Mbunge Esther Bulaya Atiwa Mbaroni


JESHI la Polisi Mkoani Mara limemkamata Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Amos Bulaya (CHADEMA) akiwa katika Hotel ya Kifa Best Point Wilayani Tarime akidaiwa kutaka kufanya mkusanyiko kinyume cha sheria.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Tarime na Rorya, Kamishina Msaidizi Mwandamizi Henry Mwaibambe amesema wabunge  Bulaya na John Heche hawatakiwi kujumuika kwenye mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Tarime.

No comments:

Powered by Blogger.