Trending News>>

TEKNOKONA::Jinsi ya kutumia account mbili za whatsapp kwenye simu moja

Hii kutokana nakuulizwa swali hili na watu wengi katika email Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta njia ya kuweza kutumia whatsapp mbili tofauti kwenye simu moja. Leo nitatoa maelekezo mafupi ambayo yatakuwezesha kutumia whatsapp mbili kwenye simu yako.Fata hatua zifuatazo…

Hatua ya kwanza
Download  App  inayoitwa parallel space kwenye play store

Hatua  ya pili
Kama simu yako ni line moja basi weka line nyingine ambayo unataka iwe whatsapp yako ya pili

Hatua ya tatu.
Install application uliyo download kwenye Step 1(parallel space )., kisha ifungue.

Hatua ya nne
Utakapofika kwenye kipengele kinachotaka kuweka number  ya simu hapo  utaweka namba yako ya pili ili uweze kuwa na whatsapp mbili

Hatua ya tano.
Utaendelea na Steps za kawaida kama  ulivyojiunga na whatsapp ya kwanza.
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka na kuanza kutumia whatsapp mbili kwenye simu moja.

1 comment:

Unknown said...

Good job kw akutoa maelekezo mazuri ya jinsi ya kutumia WhatsApp mbili katika sim moja...

Powered by Blogger.