Taarifa ya Efm Juu ya Kifo cha Bikira wa Kisukuma
Marehemu Seth Katende – maarufu kama Bikira wa Kisukuma enzi akifanya kazi EFM.
Kutoka kushoto marehemu Seth Katende akiwa na timu nzima ya kipindi cha ubaoni alichokua akitangaza.
Ni vigumu sana kuamini na kukubali msiba huu mzito kwetu lakini kwa kuwa sisi ni binadamu na kila nafsi lazima ionje umauti, tunamuomba Mwenyezi Mungu aipumzishe roho ya marehemu mpendwa wetu Seth Katende mahali pema peponi. Amina.
Uongozi na wafanyakazi wa Efm Radio na TV-E unatoa pole kwa familia ya marehemu na wasikilizaji wetu wote walioguswa na msiba huu.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa; jina lake lihimidiwe. Amina.
No comments:
Post a Comment