SKAUTI MKUU NCHINI BI.MWANTUM AZUNGUMZIA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 100 TANGU CHAMA HICHO KUANZISHWA
Skauti
Mkuu nchini Bi. Mwantumu Mahiza akisisitiza jambo kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam wakati akielezea
sherehe za maadhimisho ya miaka 100 tangu chama hicho kianzishwe, kulia
ni Kamishna Mkuu, Msaidizi Mambo ya Nje wa chama hicho Fredrick Nguma na
kushoto ni Kamishna Mtendaji wa chama hicho Eline Kitaly.
Skauti
Mkuu nchini Bi. Mwantumu Mahiza akifafanua jambo kwa waandishi wa
habari (hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam wakati akielezea
sherehe za maadhimisho ya miaka 100 tangu chama hicho kianzishwe,
kushoto ni Kamishna Mtendaji wa chama hicho Eline Kitaly.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakimsikiliza Skauti Mkuu nchini Bi. Mwantumu
Mahiza (aliyekaa katikati) wakati akielezea sherehe za maadhimisho ya
miaka 100 tangu chama hicho kianzishwe, mapema hii leo jijini Dar es
Salaam
Kamishna
Mkuu, Msaidizi Mambo ya Nje wa Chama cha Skauti Tanzania Fredrick Nguma
(kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)
wakati akielezea sherehe za maadhimisho ya miaka 100 tangu chama hicho
kianzishwe, kushoto ni Skauti Mkuu nchini Bi. Mwantumu Mahiza.
Kamishna
Mkuu, Msaidizi Mambo ya Nje wa Chama cha Skauti Tanzania Fredrick
Nguma(kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)
wakati akielezea sherehe za maadhimisho ya miaka 100 tangu chama hicho
kianzishwe, katikati ni Skauti Mkuu nchini Bi. Mwantumu Mahiza na
kushoto ni Kamishna Mtendaji wa chama hicho Eline Kitaly.
Picha zote na Eliphace Marwa – Maelezo
No comments:
Post a Comment