Trending News>>

Mtoto wa Miezi kumi ahukumiwa kifo barani ulaya




Mahakama ya Haki za Binadamu Barani Ulaya yatoa hukumu ya adhabu ya kifo kwa Mtoto Charlie mwenye umri wa miezi 10.

Charlie Gard amepewa adhabu hiyo ya kifo baada ya Madaktari bingwa wa Nchini Uingereza kugundua kwamba Mitochondrial DNA Depletion Syndrome ndio ugonjwa unao msumbua Mtoto huyo na kuthibitisha kukosekana kwa dawa yake hadi sasa.

Madaktari wanasema ni vyema mtoto huyo akafariki kuliko kuendelea kuishi kwa msaada wa mashine maalum.
Wazazi wa Mtoto Charlie kupitia mradi wa GoFundMe wamechangisha Dola za Kimarekani milioni 1.3 ili ziweze kusaidia matibabu ya mtoto wao.
Mpaka sasa watoto wanaosumbuliwa na ugonjwa huo ni 16 tu Duniani.

No comments:

Powered by Blogger.