Trending News>>

MAPENZI:Mjumbe wa nyumba kumi ....

Maisha yakiwa magumu bana mambo mengi hutokea, haya ni maisha ya mjumbe wa mtaa wa kimong'o, mzee balungi na harakati zake za kuchafua mtaa wake.
picha linaanza mzee balungi ana mke mmoja na watoto wanne, wawili ikiwa wakike na wawili wadogo wakiume. huyu mzee maisha yake yote aliyokua akiishi watu walikua wanamuheshimu na kumuona anafaa kua mjumbe wao maana amekaa mda mrefu hapo katika huo mtaa.
kipindi cha uchaguzi wa viongozi wa mtaa ulivyofika, watu wakamchagua mzee balungi kua mjumbe wao wa mtaa. basi akawaongoza vizuri tu na kutatua matatizo yao.
baada ya muda mambo yalianza kubadirika katika maisha ya mzee barungi, huyu mzee alikua anapenda sana hongo yaani ukija na shida kidogo tu ni lazima umtoe kidogo na usipofanya hivyo hufanikishi ishu yako. 
watu wakawa wanamchukulia kawaida tu na kujua ni kawaida yake. siku moja alikuja binti kwa mjumbe akiwa amepigwa na bwana wake usoni huku akiwa amevaa dela na akiwa analia sana, mzee balungi alisikitika sana na kumuuliza kulikoni analia, binti akafunguka kua mumewe amempiga na wifi yake kisa hazai, huku akiendelea kulia mzee balungi alimshika bega na kumpooza anyamaze kwanza ili wasolve hiyo kesi.
baada ya muda binti alitulia na kuelezea kila kitu kwamba: tangu niolewe na huyu mume wangu tumehangaika sana bila mafanikio ya kupata mtoto, ni miaka minne sasa na tumejaribu kila njia, mpaka mimi nilienda kwa waganga lakini wapi, nikaenda kanisani lakini wapi, nikamshauri mwenzangu twende nae hospitali lakini anakua mbishi na kusema yeye alishawahi mpa demu wake wa zamani na kwamba saizi hawana mawasiliano sijui. yaani  leo amekuja wifi yangu wakaanza kuniambia nitoke mule ndani kwakua simpatii watoto mume wangu. huku akianza tena kulia.
mjumbe akamtuliza na kwa mbwembwe akaandika barua yakutaka mumewe akamatwe na polisi na wifi yake pia. lakini yule binti akamtuliza mjumbe na kusema "sitaki polisi, bado nampenda mume wangu", basi mjumbe akamwambia ampeleke huko kwake wakasolve tatizo.
kufika kule, wakamkuta mumewe yule binti akiwa na dada yake wanaongea sebuleni, wakaingia mpaka ndani, yule binti akaanza kuwanyooshea vidole na kusema ndo walionipiga hawa mimi. huku wale wakijitetea kua hawajampiga, mzee balungi alisimama na kuwaamuru wakae kimya na kuanza kusema "yaani wewe una mke mzuri hivi unampiga kisa mtoto, mtoto ni majaliwa ya mungu na ipo siku mtampata lakini sio kwa kumpiga mtoto wa watu, kama ni tatizo mnapaswa kulisolve taratibu, mbona kuna watu wanakaa miaka kumi hawana mtoto lakini mungu anawajalia wanakuja kumpata baadae. na wewe wifi mtu sijui, hivi kweli unakuja hapa kwa kaka yako kumpiga mkewe, atabu gani uliyofundishwa hiyo, wewe je una mtoto? na je ukifanyiwa hivi huko utapoenda utafurahia..?, acheni mambo ya ajabu, na hili ni onyo la mwanzo na mwisho, akija tena kutoa taarifa huyu nawapeleka poilisi kwa kumpiga sawa, mnashida mje pale ofisini tusaidiane kutatua..."
wote wakakaa kimya kisha mjumbe akamwambia yule binti amfate nje na kuongea nae maneno kadhaa kisha akaondoka zake.
maisha ya yule binti hayakua mazuri pale nyumbani maana kila mtu hakua na time nae, basi akawa anaenda kwa mjumbe kushinda.
mjumbe akawa anamkaribisha binti na kuendelea kumliwaza na kumpunguzia machungu yake ya maisha nini mpaka ikafika kipindi akawa anamsaidia mjumbe baadhi ya kazi pale na nini.
baada ya miezi minne yule binti alishika ujauzito, baada ya kujua ana mimba alimfata mumewe na kumwambia hajisikii vizuri hivyo waende hospitali, mumewe akampeleka hospitali na kumcheki afya yake na kugundua kua ana ujauzito.. dada mtu alifurahi sana lakini mume mtu hakuonekana na furaha sana.
basi yule binti alifurahi na kua na amani, baada ya muda akajifungua salama mtoto wa kiume. wifi mtu alibadirika ghafla na kumpenda sana wifi yake na kumpenda yule mtoto, basi wakaishi kwa amani mule ndani hadi raha.
baada ya miaka miwili binti akashika mimba ya pili na kujifungua mtoto mwingine wa pili, wifi zake walimpenda na ndugu wote walimpenda. kasheshe ikawa kwa mume sasa. akawa haeleweki mara anamfanyia mkewe visa mpaka dada zake na ndugu zake wakawa wanamkasirikia.
kumbe bana jamaa hawezi zalisha alafu akawa anamsingizia mkewe ndo hawezi kubeba mimba, sasa atasemaje hilo swala na mkewe ndo kapata mtoto wa pili hivyo na usikute akaongeza mwingine, jamaa aliumia sana lakini hakua na uwezo wa kufanya chochote kile.
kumbe mkewe bana mimba zote ni za yule mjumbe, siku ile mjumbe alivyomuita nje yule binti wakati akiwasuluhisha nyumbani kwao alimwambia, "usiwe na shaka lolote, mimi najua dawa ya kukufanya upate mtoto, na itatakiwa uwe unakuja kwangu pale ili upone", na binti alikubali ndo akawa anaenda enda kwa mjumbe.
huko alipokua akienda mjumbe alikua akifanya yake vizuri ingawa siku ya kwanza binti alikua mbishi kweli, kila mjumbe akitaka kumshika kiuno anakataa, kila akitaka kumshika kifua alikataa, lakini mjumbe akamwambia asipokubali atapigwa kila siku na mumewe.
basi binti alikubali na kuanza kumvulia chupi mjumbe ili ampe dawa, mzee balungi alikua akifanya nae mapenzi kila siku akija yule binti, mpaka yule binti akashika mimba ya kwanza na kujifungua mtoto. baada ya muda tena yule binti alivyotaka mtoto wa pili akaenda tena kwa mjumbe na kutaka dawa tena ya mtoto wa pili. ndo ikawa tabia hiyo na akapata mtoto wa pili. na hivi sasa huyu binti anafikiria mtoto mwingine hivyo anamuandalia mda tu akamvulie nguo na chupi huyu mzee balungi.
so sad kwa huyu mume mtu, kusema hawezi, kumpiga mkewe hawezi, anabaki kuumia tu kulea watoto wa wengine.
na mzee balungi ikawa tabia yake, zikija kesi kama hizo akawa anazishughulikia yenye mwenyewe na kutatua matatizo ya familia hizo kwa nia hiyo. alitia mabinti wengi sana mitaa hiyo na wao wakawa wakisikia wenzao wanashida kama hizo walikua wakiwashauri waende kwa mjumbe, ikafika kipindi wakawa wanamlipa mjumbe kwa kuwatia na kuwazalisha. maisha ya mzee balungi yalikua matamu sana......
END

No comments:

Powered by Blogger.