Trending News>>

MAHUSIANO:: Yawezekana kuacha kufanya mapenzi kinyume na maumbile?

Nikwamba nilikutana na msichana fulani. Baada ya siku chache kulingana na mazingira nikajikuta nimetembea naye, na kwa kuwa mimi pia nilikua nimekaa mda mrefu bila kuwa na mtu maalum, nikajikuta nazoea lile la kufanya nae ngono linaendelea siku hadi siku. Kwangu ilikua kama natoa ugumu, sikuwa nimempenda na hasa kwa namna tulivyoanza uhusiano ilikua kama nikufanya mapenzi then kila mtu na hamsini zake. Lakini pamoja na hayo siku za mwanzo za kulala naye niligundua alikua amezoea kufanywa kinyume na maumbile.
Binafsi sio mtumiaji kutokana na makuzi yangu kuwa na mipaka na baadhi ya mambo. Lakini nlipogundua nilikaa nae chini na kumueleza madhara ya ile kitu kwa kina na yeye anavyojishusha thamani ya uanamke n.k. Baadae akaja akafunguka na kunisimulia yote na boyfriend wake aliekua kamzoesha mchezo huo. Lakini kubwa ikawa mimi na yeye kila tulipopata nafasi yakulala nlikua nafanya mbele kawaida.

Ila kila nilipojaribu kuacha kufanya nae ngono, ikawa ngumu, maana alitokea kuniganda mno.Nilimfanyia kila aina ya vituko aone simuhitaji na sitaki mazoea nae, nishamtukana sana, Nishamfukuza sana, nishamsemea kebehi na kejeli sana, nishampiga makofi, nishamuonesha dharau hadi mbele za watu n.k lkn Ataondoka mwenye huzuni na uchungu na kulia. Lakini kesho yake atakuja tena, bila taarifa, akiwa mwenye hali kama vile Jana yake sijamtendea ubaya wala kujali mazingira ya watu walioona nikimzingua n.k. Mara kaniletea hiki, zawadi hii Mara ile n.k.
Ikafika kipindi nikaanza kuwa namuonea huruma, nikiangalia yote nayomtendea lakini bado anaonekana ye moyo wake mweupe na kuonesha kunipenda zaidi na kuniamini zaidi. Ikafika kipindi akawa akinieleza mikasa yake yote ya maisha na hadi jinsi alivyoangukiaga kwa huyo jamaa. Na kunieleza wazi kuwa imefika kipindi hata akipigwa mbele asikii raha ye mwenyewe anataka nyuma tu, ndio anajisikia.

Lakini mimi nlitumia mwanya huo wakuniamini kuzungumza nae juu ya maisha yake katika maeneo yote ya kimaisha. kutokana na yote ambayo nilikuwa nikimweleza alikuwa akionyesha majuto makubwa n.k Na siku zile ilikua nikiwa namfanya anahangaika na kuwa kama anastuka stuka kuashiria nyuma kunafukunya kama aingiliwe hivi. Lakini mimi nikawa naendelea kupiga mbele kawaida huku ye akiwa anaweweseka hivyo na anakua anashindwa kujizuia kule kuweweseka na kustukastuka.
Lakini badae imekwenda ikafika hatua hiyo tabia ya kustuka stuka kuashiria anahitaji mambo flani ikakata. Ingawaje mwanzoni alikiri kuwa ile kitu ikianza kufukunya ni balaa, na nilishauri ishu ya kupigwa bomba kusafishwa akawa hana nebi yuko tayari.Me nikawa naendelea kumgonga siku zote lakini sikuwa na mapenzi naye ni kwakua kaniganda na bado akili yangu ilikua ikinituma kua namsaidia tu kuwa mtu fulani na iko siku nitaacha tu kmfanya.
Lakini cha ajabu siku zilivyokuwa zinazidi kwenda akawa anaonesha mabadiriko makubwa, haraka na yadhati kila napoongea nae jambo lolote la kimaisha, tabia na mienendo. Na kufika kipindi akionesha kua mm nimebeba sehemu kubwa sana ya maisha yake, kuzidi kuniamini na kuongeza mapenzi kila siku. Akionesha kunihitaji zaidi na kuonekana mwenye furaha na kuwa na matumaini sana katika maisha anapokua na mimi.
Sasa mada kuu Iliyopo mezani nikwamba kwa sasa inafika miaka miwili tupo tu na style hii ya mahusiano, na kpindi chote hko mimi sina mwanamke mwingine ninayemjua zaidi yake. Na kama nlivyosema awali, mwisho wa siku treatment zake kwangu na mabadiriko chanya aliyokua akizidi kuonesha vikanivuta kiasi kwamba nimekua na matumaini nae sana na sasa mapenzi kwangu yamejengeka kwake mno, nami imekua nisipokua karibu naye nakua mpweke, ni rafiki yangu, mtu wangu wakaribu n.k
Na kwa sasa ninaamini kwa 100% kipindi chote hicho cha miaka miwili ambacho amekua na ukaribu nami kiasi hiki hajawahi kufanya zoezi hili na mtu yoyote na kama amefanya basi ni kwa mustrurbation ye mwenyewe, kama ni kujitumbukiza kitu ama vidole n.k Maana zile tabia za kustukastuka kuashiria kutaka kuungiliwa nyuma ziliisha hadi leo na zile observable za mtu anaefanya kinyume na maumbile anapohitaji wakati tendo la ngono likiendelea.

Lakini kutokana na ile addiction aliyokuwa nayo na vile ambavyo nafahamu watu hawaachagi mchezo huo, ndio imekua changamoto kubwa kichwani mwangu. Ingawaje nimeshuhudia yeye akipitia mabadiriko toka hatua moja hadi nyingine dhidi ya mchezo huo kuashiria kuachana nao. Niko kwenye umri na utayari wa kuoa Kwa sasa na mtu ninayemuona kihisia ni yeye. Lakini ndio imekua ni kitu so serious in my mind kwamba nikweli hii kitu hatokuja kuifanya milele yote? Na nikifikiria hilo moyoni mwangu naumia sana. Ni msichana muelewa, ana mudu mazingira yote ya hali za maisha, ana mapenzi ya dhati, mrembo n.k isipokua hlo tu ndio lilishusha uthamani wake kwamba hakukutana na mtu sahihi wakati ule damu inachemka.
ITS A SERIOUS MATTER KWA KWELI

No comments:

Powered by Blogger.