Trending News>>

Kuna penzi natamani kumpa mume wangu ila nasita

Mficha maradhi kifo humuumbua kwa kweli kama ni mateso nayapata sana mpaka nimefika mahali najiona mtumwa wa mapenzi nampenda sana my hub mpaka kumsaliti naogopa but kila tuwapo faragha Kuna michezo naimis na naogopa kumwambia.
Huu mchezo nilifundishwa na mpenzi wangu aliyenitoa usichana ila bahati mbaya alipata ajali akafariki toka apo naumis sana kwa kweli ..nadhani kwa watu wazima washaelewa ni mchezo gani huu naongelea nashindwa nianzeje mpaka huyu mume wangu anipe na nisikie raha ya mapenzi maana nimekua mtumwa kwa kweli …
Natumia njia mbali mbali mbuzi kogoma kwenda,dog style but kiukweli naona haelewi …naumia sana nifanyeje aelewe? Au nifanyeje niache na nisikie raha kama wenzangu?

No comments:

Powered by Blogger.