Trending News>>

Kauli ya JPM yamuibua Mahiza

Kauli ya Rais John Magufuli kuhusu wanafunzi wanaopata mimba kutoendelea na masomo katika shule za umma, imemuibua Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi katika Serikali ya Awamu ya Nne, Mwantumu Mahiza ambaye amempa pole kiongozi huyo wa nchi. Mahiza ambaye ni Skauti Mkuu, alikuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya miaka […] The post Kauli ya JPM yamuibua Mahiza appeared first on MANYAMAJR:

No comments:

Powered by Blogger.