Trending News>>

BREAKING NEWS:MTU MMOJA APIGWA RISASI NA KUUAWA NA WATU WASIOJULIKANA,KIBITI

Image result for breaking news

KIBITI: Mwanaume 1 aliyejulikana kwa jina la Hamis Ndikanye(54) ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake.
Shuhuda amesema kuwa watu 5 wakiwa na bunduki walifika nyumbani kwa marehemu saa 6 usiku, kisha kufanya mauaji hayo.
CHANZO:JAMIIFORUMS

No comments:

Powered by Blogger.