Kwa
mujibu wa UNDP na msaada wa mtandao wa answers.com umetabainisha kuhusu
nchi kumi ambazo zinaongoza kwa wasomi . na wasomi hao ni wale ambao
wamepata kuanzia degree moja.
Na nchi hizo ni;
Zimbabwe.
Tunisia.
Nigeria.
Misri.
Afrika kusini.
Ghana
Kenye
Uganda
Zambia.
M oroco.
Zifahamu nchi kumi (10) zinazongoza kwa kuwa wasomi wengi barani Afrika
Reviewed by Unknown
on
June 27, 2017
Rating: 5
No comments:
Post a Comment