WAGOMBEA 62 WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU TFF, LEO MWISHO SAA 10
MCHAKATO WA UCHUKUAJI FOMU TFF
Wakati leo Jumanne Juni 20, 2017 itakuwa mwisho wa kuchukua na kurejesha
fomu kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Shirikisho la Mpira wa
Miguu Tanzania (TFF), wagombea 62 tayari wamejitokeza.
Wanafamilia
hao ni wale waliojitokeza kuanzia Ijumaa iliyopita Juni 16, mwaka huu
wakiongozwa na Jamal Malinzi aliyekuwa wa kwanza kuchukua fimu kati ya
wagombea tisa walioomba nafasi hiyo.
Fomu
hizo zinachukuliwa na kurejeshwa katika ofisi za TTF, Karume jijini Dar
es Salaam na Uchaguzi wa TFF utakafanyika Agosti 12, mwaka huu mkoani
Dodoma.
Mbali
ya Malinzi, wengine waliochukua fomu hizo ni Imani Madega, Wallace
Karia, Fredrick Masolwa, Athumani Nyamlani, Fredrick Mwakalebela na Ally
Mayay wakati waliojitokeza kuwania Makamu wa Rais wako Mulamu Nghambi,
Michael Wambura, Geofrey Nyange, Mtemi Ramadhani na Robert Selasela.
Wajumbe wa Kamati ya Utendaji kwa kufuata Kanda 13 ni kama ifuatavyo:
Kanda Na. 1 Mikoa ya Kagera na Geita;
Soloum Chama
Kaliro Samson
Samwel Daniel
Leopold Mukebezi
Abdallah Mussa
Kanda Na. 2 Mikoa ya Mara na Mwanza;
Vedastus Lufano
Ephraim Majinge
Kanda Na. 3 Mikoa ya Shinyanga na Simiyu;
Benista Rugora
Mbasha Matutu
Stanslaus Nyongo
Kanda Na. 4 Mikoa ya Arusha na Manyara;
Omari Walii
Sarah Chao
Peter Temu
Kanda Na. 5 Mikoa ya Kigoma na Tabora;
John Kadutu
Issa Bukuku
Abubakar Zebo
Kanda Na. 6 Mikoa ya Katavi na Rukwa;
Kenneth Pesambili
Baraka Mazengo
Kanda Na. 7 Mikoa ya Mbeya na Iringa
Elias Mwanjala
Cyprian Kuyava
Erick Ambakisye
Kanda Na. 8 Mikoa ya Njombe na Ruvuma;
James Mhagama
Golden Sanga
Vicent Majili
Kanda Na. 9 Lindi na Mtwara;
Athuman Kambi
Dunstan Mkundi
Kanda Na. 10 Mikoa ya Dodoma na Singida;
Hussein Mwamba
Mohamed Aden
Musa Sima
Stewart Masima
Ally Suru
Kanda Na. 11 Mikoa ya Pwani na Morogoro;
Charles Mwakambaya
Gabriel Makwawe
Francis Ndulane
Kanda ya 12. Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga
Khalid Mohamed
Goodluck Moshi
Kanda Na. 13 Mkoa wa Dar es Salaam
Emmanuel Ashery
Ayoub Nyenzi
Saleh Alawi
Shaffih Dauda
Thabit Kandoro
Abdul Sauko
Peter Mhinzi
Ally Kamtande
Said Tully
Mussa Kisoky
Lameck Nyambaya
Ramadhani Nassib
Aziz Khalfan
Mwisho wa kuchukua na kurudisha fomu ni tarehe 16-20/06/2017 saa kumi (10:00) jioni.