Trending News>>

VideoMPYA: Ni time ya Diamond na Mnigeria Tiwa Savage kwenye hii mpya

Mwimbaji staa wa Bongo Diamond Platnumz amefanya collabo na mwimbaji staa kutoka Nigeria Tiwa Savage ni katika video ya wimbo unaoitwa ‘Fire’…hii hapa video ya wimbo huo na unaweza kuitazama hapa chini kisha usisahau kuniandikia maoni yako umeipokea vipi hii ili Diamond akipita hapa ajue mdau umeipokea vipi hii mtu wangu>>>

2 comments:

Unknown said...

Good news to hear

Unknown said...

Jitahidi sana kijana kuwakilisha Watanzania katika Tasnia ya Muziki Kimataifa

Powered by Blogger.