Trending News>>

Diamond afunguka kuhusu mimba ya Hamisa Mobeto



Mwimbaji wa Bongofleva kutoka WCB Diamond Platnumz amefunguka kuhusu story ambayo ilimake headline akidaiwa kuwa mapenzini na Hamisa Mobetto ambapo inadaiwa amempa ujauzito Mwanamitindo na kuonekana kuwa karibu na mama yake Diamond.

Diamond amesema hakuwai kuwa na uhusiano na Hamisa akisema hafahamu lolote kuhusu ujauzito bali ni story anazozisikia tu:“Kuhusu mimba ya Hamisa mimi sijawahi kuwa na mahusiano naye. Hizi ni stori ambazo kila siku hata mimi nazisikia.

“Toka nimefanya na Hamisa Mobetto video ya Salome watu wameongea kweli lakini mimi sina mahusiano naye.” – Diamond Platnumz.

No comments:

Powered by Blogger.