Top 10 ya mastaa wakike wenye macho mazuri zaidi duniani.
Wanasema macho ya mwanamke ni asset nzuri zaidi katika mwili wake. Kwani anaweza kuonyesha hisia zake na furaha yake kupitia macho, anaweza kuongea kwa kwa kutumia macho na ukamuelewa. Ni ngumu sana kukutana na macho mazuri, lakini sasa cheki hawa wakali hapa>>>
10. CHARLIZE THERON 
Charlize Theron ni muigizaji na mwanamitindo kutoka Afrika ya Kusini. Alianzia kazi ya uigizaji Marekani na kuwa maarufu miaka ya 1990 hivi . Ana macho mazuri. Pia amekwisha kushinda tuzo ya Oscar kama Best 
Performance kama staa wa kike katika filamu ya Monster. 9. MILLA JOVOVICH
8.CELINA JAITLEY 
Celina Jaitly ni muigizaji wa kike kutoka India ambaye amekua akionekana katita filamu za Bollywood. Pia Celina alikuwa ni beauty queen na model pia, amekwisha shinda mashindano ya umiss na kutwaa taji la Femina Miss 
India Universe mwaka2001.
 7. KRISTIN KREUK
Kristin Laura Kreuk ni muigizaji na muandaaji mkuu wa filamu kutoka Canadia. Ukitaka kumfahamu vizuri zaidi, cheki series ya kimarekani inayoitwa Smallville, ameigiza kama Lana Lang. 
6. GIADA DE LAURENTIIS 
Giada Pamela De Laurentiis
 ni mpishi, mwandishi, na mtangazaji wa Tv Imuitalia na mmarekani. 
Anakipindi chake cha kinachohusu mapishi ambacho huruka kila siku katika
 Food Network tangu 2003.5. AUDREY HEPBURN
4. ELIZABETH TYLOR 
Dame Elizabeth Rosemond “Liz” Taylor, DBE alikuwa ni muigizaji wa kike mwenye asili ya British-American. Ameshawahi kushinda tuzo mbili za Oscars, moja wapo ikiwa ni kuhusu macho yake mazuri. 
3.KRISTIN STEWART 
Kristen Jaymes Stewart ni muigizaji wa kike kutoka Marekani, maarufu kama staa aliyecheza 
Bella Swan katika movie ya The Twilight Saga. Kristen Stewart ana macho yenye mvuto ambayo kila mtu atanasa akimtazama.
2. ANGELINA JOLIE
Angelina Jolie ni muigizaji na muongozaji wa filamu kutoka Marekani. Angelina amekwisha shinda tuzo ya 
Academy, mbili za Screen Actors Guild Awards, na tatu za Golden Globe 
Awards, yeah macho yake yanamvuto na midomo yake yakuvutia. Angelina ni binti ya Jon Voight na amekwisha wahi kushinda tuzo ya Oscar kama muigizaji msaidizi bora wa kike.
1. AISHWARYA RAI 
Aishwarya Rai ni muigizaji maarufu wa filamu kutoka India. Mwanzoni alifanya kazi kama mlimbwende/model, na hatimae akashinda Miss World pageant mwaka 1994. Hakika macho yake yanadhirika kuwa yenye mvuto dunia nzima na kumfanya kushika nafasi ya kwanza katika mastaa wa kike wenye macho mazuri zaidi duniani.
Aishwarya alikwisha kuchaguliwa na Time magazine mwaka 2004 kama mmoja kati wa "watu 100 wenye ushawishi duniani" na anatambulika pia kama mwanamke mrembo zaidi duniani.










