Trending News>>

Rais Magufuli awaaga wafanyakazi


Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Juni, 2017 ameagana na wafanyakazi wa iliyokuwa Ofisi ya Rais, Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (President’s Delivery Bureau - PDB) ambao wamehamishiwa katika nyingine za serikali.

No comments:

Powered by Blogger.