Trending News>>

Nina mapenzi ya dhati lakini sipati mwanaume mwenye mapenzi ya dhati



Ni kama nina mkosi. Maana nina mapenzi ya dhati mpaka najiogopa. Lakini sijawahi kupata mahusiano ya dhati kama ambavyo mimi ninayo ni kuumizwa tu.
Wanaume nyie, shikamoni, nina ex boyfriend alinisaliti kwa wanawake wengine nikamvumilia. Baadae nikachoka nikamwambia aendeelee nao. Anataka kurudi tena na misamaha mingi utafikiri mimi hakimu.
Sina hamu tena, nafungia papuchi yangu kabatini, mpaka nitakapojaliwa kuwa na mume wangu ndo atakuja kufaidi, kiukweli nikija mpata mume wangu sitakaa kuja kumsaliti na kumdharau.
Wanawake wenzangu tuwe makini na hawa viumbe hatujazaliwa nao tumbo moja, my ex. Please live me alone. Now I’m happy. Maana no stress za hawa viumbe.

No comments:

Powered by Blogger.