Trending News>>

AFC Bournemouth yamsajili beki wa Chelsea

Nathan Ake akiwa amevaa jezi ya AFC Bournemouth na kuinua skafu yake, baada ya beki huyo kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 20 kutoka Chelsea kwa dau la rekodi la klabu hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.