Mwanamke adaiwa kumkata sehemu za siri mtoto wa jirani yake
Hekaheka ya leo June 19, 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM imetokea 
Sinza DSM ambapo mwanamke mmoja anadaiwa kumkata sehemu za siri mtoto wa
 kiume wa jirani yake mwenye umri wa miaka minne akidai amembaka binti 
yake wa miaka miaka mitatu.
Inadaiwa kuwa watoto hao walikuwa wanacheza nyumbani kwa mama huyo 
ambapo alidai kuwakuta wakifanya hivyo hivyo kuamua kumkata sehemu za 
siri mtoto huyo wa jirani jambo lililopelekea kukimbizwa Hospitali na 
kufanyiwa tohara baada ya mzazi wake kutoa taarifa Polisi.

 
