Mtongoze mwanamke ndani ya dakika tatu...
Swali la utongozaji limekuwa mtihani mkubwa kwa wengi. Hii
imekuwa sababu ya wengi kununua makahaba au wengine kuamua kuwa watumwa
wa punyeto.
Madhara yake ni mengi kama vile UKIMWI na uhanisi.
Leo nitaeleza kwa ufupi namna unavyoweza mvutia mwanamke yeyote, hata yule unayemuona super beautiful ndani ya muda mfupi sana dakika tatu.Na kukuta umepewa huduma hata siku high hiyo.
1. Jiamini
Nina maana muonyeshe mwanamke unajua unachotaka pia huna hofu muangalie machoni, hakikisha yeye anaweza kukuangalia kwa kuibia, hivyo usimtumbulie macho sana.
2.Kuwa msafi
Haina maana upake mapoda,kuwa simple oga,chana nywele vaa nguo safi, zingatia viatu mwanamke lazima aangalie miguu yako.
3.Ongea kwa sauti nzito
Kamwe usifanye mwanamke ahisi yupo na mwanamke mwenzie.
4.Usiombe namba ya simu omba mtoko
Wanaume wengi huomba number, hapa mwanamke lazima umsisimue maana alichofikiria sio ulichofanya akiweza kukubali uwezekano wa kupewa malavidavi usiku huo huo ni mkubwa.
5. Ingia akilini mwake
Jenga ukaribu kwa kumfanyia vitu vingi ndani ya muda mfupi, mfano unaweza ukacheza nae mziki kisha ukamnunulia kinywaji na kumnywesha hapo hapo ukamsindikiza maliwato na kadhalka, zingatia mandhari.
6.Msifie kwa kitu mahususi
Usimwambie umependeza, sema macho yako yanavutia kama umekula kungwi!
7.Mfurahishe
Ukiweza mchekesha mwanamke kwa mitindo mbalimbali akitoka hapo lazima akufikire.
8.Usitabirike
Sio umeona demu mkali unakuwa zuzu na kuropoka kila kitu kukuhusu, unaua mdadiso kwa mwanamke, utakuwa huna jipya tena.
9.Mfanye awe roho juu
Mwambie kuna kitu anachokinachokufanya uvutike nae, lengo hapa ni kumpa jakamoyo, siri ni kuwa usimtajie hicho kitu, utakuwa umempa kazi ya kukutafuta kwa hiyo hana budi kuwa karibuni na wewe.
10.Usimgande
Kuwa na maisha yako sio kila wakati umetuma sms, umepiga simu, kuwa busy!
11.Cheza na hisia zake
Mfanye afurahi dakika moja ingine awe na huzuni, wanawake wanapenda drama.
12.Kuwa kiongozi
Mfanye maisha yake uwe muamuzi wake, ndio, mchagulie nguo ya kuvaa, mkosoe, msifie, hii itamfanya kila jambo lazima akuombe ushauri, hivyo hawezi kwenda mbali nawe, sio unamuuliza mwanamke twende wapi, mwambie Leo tunaenda twanga pepeta.
14. Mfanye awe na wivu
Ongea zaidi na rafiki zake wa kike ikiwa yupo nao! yes, hii itamfanya apiganie nafasi yake, si unajua wachezaji wanavyogombania namba? matokeo ni kuwa lazima upewe mahaba niue.
Kuanzia Leo kuwa na uhakika wa kumpa mwanamke umtakaye na akugande kama kupe.
Chaoo!

No comments:
Post a Comment